
Simba, MO Dewji hakuna anayemlinda mwenzake
Penzi lililo imara ni lile ambalo kila mmoja anawajibika kwa mwenzake na kumlinda iwe katika nyakati za shida na raha. Walio katika penzi imara wanacheka na kufurahi pamoja wakati wanapopitia nyakati za furaha na katika nyakati za huzuni wanalia na kusikitika pamoja pasipo mmoja kumuacha mwenzake. Kama ambavyo ni suala la kawaida kwa penzi la…