
Prince Dube, Azam sasa kumekucha TFF
Picha la Azam FC na Prince Dube limeanza upya na kuanzia kesho yatafichuka mengi pande hizo mbili zitakapokutana uso kwa uso kwa mara nyingine. Mwanaspoti awali liliripoti kwamba Prince Dube ameukana mkataba wake na Azam FC unaomalizika 2026 na akaondoka Chamanzi. Staa huyo alikwenda kushtaki kwenye Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kesi yake…