
Rais Dk. Samia atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima nchini Uturuki
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Chuo Kikuu cha Ankara cha nchini Uturuki, kimemtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Shahada ya Heshima (Honoris Causa) katika Uchumi, ikiwa ni kutambua juhudi zake za kuendeleza mageuzi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi na kuiishi falsafa yake ya 4R. Rais Samia ametunukiwa Shahada hiyo…