Admin

Dk Mwinyi ajitosa ishu ya Zanzibar CAF

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema bado inapambana ili kupata ufumbuzi juu ya suala la timu ya taifa ya soka ya Zanzibar, ‘Zanzibar Heroes’ la kutopata nafasi ya kushiriki mashindano mbali mbali yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).Hayo yamesemwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi…

Read More

Mshitakiwa akana maelezo yake, adai hajui kilichomuua mkewe

Geita. Mshtakiwa Bahati Shija anayekabiliwa na shitaka la kumuua mkewe, Grace Daud kwa kumpiga na chuma kichwani ya  kukataa kurudiana naye, ameiambia Mahakama hajui sababu za kifo hicho. Kauli ya mshitakiwa huyo imekuja siku moja baada ya shahidi wa tatu, E.7719 Sajenti Pascal ambaye ni Askari Mpelelezi Wilaya ya Geita aliyerekodi maelezo ya onyo ya…

Read More

Ukiwa na macho ZPL marufuku

UNGUJA. BODI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Issa Kassim ameliambia Mwanaspoti hawatamruhusu kucheza mechi mchezaji yeyote atakayebainika kuwa na tatizo la macho mekundu maarufu kama red eyes. “Uzuri haya maradhi hayamfichi mtu mwenye nayo anaonekana wazi wazi  kwahiyo hakuna ulazima wa kubeba vifaa mchezaji ukimuona tu utamjua kama anayo au hana,”…

Read More

Serikali yaweka wazi juu uraia pacha

Ramadhan Hassan,Dodoma SERIKALI imesema haipo tayari kutumia uraia pacha ila hivi karibuni itaanza kutumia utaratibu wa hadhi maalum ambao utatoa fursa kwa wenye asili ya Tanzania waliopo nje kuchangia nchi yao. Hayo yameelezwa leo Alhamisi Aprili 18,2024 jijini hapa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika,Balozi Mbarouk Nasoro Mbarouk wakati akizungumza…

Read More

Simba, MO Dewji hakuna anayemlinda mwenzake

Penzi lililo imara ni lile ambalo kila mmoja anawajibika kwa mwenzake na kumlinda iwe katika nyakati za shida na raha. Walio katika penzi imara wanacheka na kufurahi pamoja wakati wanapopitia nyakati za furaha na katika nyakati za huzuni wanalia na kusikitika pamoja pasipo mmoja kumuacha mwenzake. Kama ambavyo ni suala la kawaida kwa penzi la…

Read More

Namna makachero walivyomdaka mwizi wa bastola

Moshi. Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Benedicto Petro aliyeongoza timu ya makachero kuwakamata washtakiwa wa kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, ameeleza namna walivyomkamata mshtakiwa wa kwanza katika kesi hiyo, Eben Mwaipopo. Mshitakiwa huyo alikamatwa katika Kituo cha Basi cha Bomang’ombe wilayani Hai.  Shahidi ameeleza kuwa, katika mahojiano,  mshitakiwa aliwaeleza alipoificha silaha iliyotumika katika mauaji mkoani…

Read More

Ninja ile ishu ya Fei Toto, nilipakaziwa tu!

BEKI wa Lubumbashi Sport ya DR Congo, Mtanzania Abdallah Shaibu ‘Ninja’ kuna jambo amejifunza kutokana na kupata nafasi ya kucheza nje kwa awamu mbili tofauti, linalompa nguvu ya kutoogopa changamoto anazokutana nazo. Katika mahojiano yake na Mwanaspoti, Ninja anasema kwa mara ya kwanza alipoondoka nchini mwaka 2019 kwenda kujiunga na LA Galaxy II ya Marekani…

Read More

Waziri asimulia alivyosaidiwa kusomeshwa na Sokoine

Arusha. “Siku zote nimekuwa nikiamini huyu baba mzalendo wa kweli amekuwa na dhamana kubwa katika maisha yangu, naona Mungu alimtuma ninyanyuke katika familia yetu ya watoto saba,  hakuna mwingine aliyeenda shule zaidi yangu.” Ni nadra kwa kiongozi ambaye amepata mafanikio ya kielimu, kiuchumi na kisiasa kuelezea mapito aliyopitia, lakini si kwa Naibu Waziri wa Madini,…

Read More