Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ
WAKATI Raska Zone ikianza mazoezi kujiandaa na Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja, mastaa wametamba kurejea uwanjani kwa nguvu mpya kutafuta kupanda Ligi Kuu msimu ujao. Timu hiyo imekuwa na matokeo mazuri ikianza kufuzu 16 bora ya Kombe la Shirikisho, ipo nafasi ya pili kwa pointi 27 kwenye Ligi Daraja la Kwanza ikiachwa alama…