Admin

Galaxy AI Now Supports More Languages with Latest Update – MWANAHARAKATI MZALENDO

    Samsung Electronics Co., Ltd. today announced the upcoming expansion of three new languages for Galaxy AI: Arabic, Indonesian, and Russian, as well as three new dialects: Australian English, Cantonese, and Quebec French. In addition to the 13 languages[1] already available, Samsung empowers even more Galaxy users around the world to harness the power of mobile AI. In addition to these new languages and…

Read More

PUMZI YA MOTO: Kutoka Neverkusen hadi Neverlosing

KAMA kuna hadithi tamu ya kuisimilia katika ulimwengu wa soka, basi ni hii ya muujiza wa kocha Xabi Alonso na klabu yake ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani. Baada ya miaka 120 ya uhai wao, Bayer Leverkusen wameshinda kwa mara ya kwanza taji la Ligi Kuu Ujerumani (Bundesliga).Timu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1904 ilikuwa imeshinda mataji mawili…

Read More

Hivi ndivyo Tanzania inavyoweza kukabili athari za mafuriko

Dar es Salaam. Uwepo wa utashi wa kisiasa, matumizi ya sayansi kupewa nafasi na kubainishwa kwa maeneo hatarishi ni miongoni mwa hatua zilizopendekezwa na wanazuoni kukabiliana na athari za mafuriko Tanzania. Mapendekezo ya wanazuoni yametolewa katika kipindi ambacho maeneo mbalimbali nchini yanakabiliwa na athari za mafuriko ambayo hadi sasa yameondoa uhai wa watu takribani 58…

Read More

NJE YA BOKSI: Mapambano haya yaliwaletea neema

NEVADA, MAREKANI: Kazi kazi. Mchezo wa ngumi ni moja ya michezo inayolipa pesa ndefu kwa mabondia kupanda ulingoni. Haijalishi bondia atapigana kwa muda gani. Wapo wanaopanda na kushuka kwa maana ndani ya sekunde chache tu wameshakalishwa, lakini hilo haliwazuiii kuchota chao. Malipo kama kawa. Ni moja ya michezo ambayo uhakika wa pesa ni nje nje….

Read More

Chanzo ongezeko la vifo, ajali za barabarani Zanzibar

Unguja. Uchumi wa nchi yoyote unategemea zaidi miundombinu bora, kurahisisha usafiri na usafirishaji. Miongoni mwa miundombinu hiyo ni ya barabara nzuri, imara zenye alama kwa kujali watumiaji wote. Zanzibar licha ya kuwa na miundombinu ya barabara, bado ina safari ndefu ya kuziwezesha kuwa na sifa hiyo. Kuna mambo yanaonekana kama madogo lakini athari yake ni…

Read More

Prince Dube, Azam sasa kumekucha TFF

Picha la Azam FC na Prince Dube limeanza upya na kuanzia kesho yatafichuka mengi pande hizo mbili zitakapokutana uso kwa uso kwa mara nyingine. Mwanaspoti awali liliripoti kwamba Prince Dube ameukana mkataba wake na Azam FC unaomalizika 2026 na akaondoka Chamanzi. Staa huyo alikwenda kushtaki kwenye Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kesi yake…

Read More

WANAWAKE VIONGOZI WAHIMIZWA KUTUMIA MITANDAO KWA TIJA KUWALETEA MAENDELEO – MWANAHARAKATI MZALENDO

NA EMMANUEL MBATILO, MOROGORO   WANAWAKE viongozi na vijana wanasiasa wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa tija kwa lengo la kupeana taarifa na kuondokana na matumizi mabaya yenye kuleta athari hasi kwa vijana wakike wanaotarajia kuwa viongozi wa baadae.   Wito huo umetolewa Aprili 16,2024 mkoani Morogoro na Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro Ruth…

Read More