WANAWAKE VIONGOZI WAHIMIZWA KUTUMIA MITANDAO KWA TIJA KUWALETEA MAENDELEO – MWANAHARAKATI MZALENDO
NA EMMANUEL MBATILO, MOROGORO WANAWAKE viongozi na vijana wanasiasa wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa tija kwa lengo la kupeana taarifa na kuondokana na matumizi mabaya yenye kuleta athari hasi kwa vijana wakike wanaotarajia kuwa viongozi wa baadae. Wito huo umetolewa Aprili 16,2024 mkoani Morogoro na Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro Ruth…