
MIAKA MITATU (3) YA DKT. SAMIA YANUFAISHA WAKAZI WA MANISPAA YA BUKOBA. – MWANAHARAKATI MZALENDO
Zaidi ya shilingi Bilioni 15 zimetolewa na Serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na kuchangia ukuaji wa sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato wakati akiwautubia wananchi wa manispaa ya Bukoba kwenye…