
TCAA yakabidhi vifaa kwa shule ya msingi Mnete-Mtwara
Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA imekabidhi vifaa vya shule na vya ofisi katika Shule ya Msingi Mnete iliyopo mkoani Mtwara ikiwa ni msaada kwa jamii. Akizungumza wakati wa kupokea vifaa hivyo vyenye thamani ya Milioni Kumi (10) Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Mwanahamisi A. Munkunda ameishukuru TCAA kwa kuona hitaji na kuchukua hatua…