
Zaidi ya shilingi milioni 200 kukusanywa,kufanikisha ujenzi wa ukuta wa shule ya sekondari ya wasichana Songea
Zaidi ya shilingi milioni 200 zinatarajiwa kukusanywa na kufanikisha ujenzi wa ukuta wa shule ya sekondari ya wasichana ya Songea kufuatia michango ya wanafunzi waliowahi kusoma miaka ya nyuma . Ujenzi huo ambao ni msaada wa wanafunzi ambao walisoma katika shule ya sekondari ya wasichana ya Songea miaka ya nyuma unatizama kama mchango wa kukuza…