
Baada ya miaka 20, Kalito atamani kuwa Mtanzania
Dar es Salaam. Safari ya Miaka 20 ya mburudishaji Carlos Bastos Mella ambaye yupo nyuma ya maeneo mengi ya burudani jijini Dar es Salaam, ameshauri kuanzishwa shule za upishi na usimamizi wa hoteli nchini ili kuongeza ufanisi katika tasnia hiyo. Carlos Bastos Mella, anayejulikana kama “Kalito,” ni raia wa Hispania kwake ilikuwa kama bahati ya…