Admin

Rodrigo apuuzia uzushi wa kuhama Real Madrid.

Nyota wa Real Madrid aliyekadiriwa kuwa na thamani ya Euro milioni 100, Rodrigo, amepuuza uvumi wa kujiondoa kufuatia kauli yake ya hivi majuzi. Rodrigo, fowadi wa kimataifa wa Uhispania anayeichezea Real Madrid kwa sasa, amepuuzilia mbali uvumi unaomhusisha na kuondoka katika uwanja wa Santiago Bernabeu. Katika mahojiano na AS, gazeti maarufu la michezo la Uhispania,…

Read More

T: Utata akidaiwa kupelekwa akiwa hai mochwari

Moshi. Ni tukio la kutatanisha. Hii ni baada ya   mzee mmoja aliyejulikana kwa jina la Saimon Macha kudaiwa kwamba jana akiwa hospitalini KCMC alikokuwa amelazwa, alikufa na baadaye akabainika kuwa bado yuko hai akiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti. Baada ya taarifa hizo kuvuma na baadhi ya wanafamilia kuzipata, waliamua kuweka msiba nyumbani kwake Mtaa…

Read More

SERIKALI YAPUNGUZA KODI KWENYE VIFAA VYA MAZOEZI TIBA

 Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma. Serikali imesema kuwa msamaha kwenye vifaa tiba vya mazoezi yaani physiotherapy hutolewa kwa hospitali zilizosajiliwa na kuidhinishwa na Waziri wa Afya, ambapo hupatiwa msamaha wa kodi kwa lengo la kuboresha afya kupitia mazoezi, ambayo ni njia bora ya kuzuia magonjwa na kuboresha ustawi wa jumla wa jamii. Hayo yameelezwa bungeni,…

Read More

Hatimaye Azam FC Ligi ya Mabingwa Afrika

SAFARI ya Azam FC kuisaka nafasi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao imefanikiwa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Geita Gold na kumaliza Ligi Kuu Bara ikiwa katika nafasi ya pili katika msimamo. Azam FC iliyoanzishwa mwaka 2004 na kuanza kucheza Ligi Kuu Bara mwaka 2008, iliwahi kufanikiwa…

Read More

Messi kuonekana kwenye “Bad Boys 4” trailer.

Mashabiki waliachwa na mshangao kwa kuonekana kwa Lionel Messi katika trela ya hivi punde ya Bad Boys 4, ambapo alizungumza Kiingereza hadharani kwa mara ya kwanza. Muonekano huu usiotarajiwa wa Messi, anayejulikana kwa umahiri wake wa soka na kwa kawaida akikwepa kuzungumza Kiingereza hadharani, uliwashangaza mashabiki wengi na kuzua msisimko kwenye mitandao ya kijamii. Katika…

Read More

Umewahi kuwasikia wapiga debe wa kukupeleka ‘gesti’

Mbeya. Wakati wapiga debe kwa baadhi ya mikoa wakiwa wanalalamikiwa  kuwabughudhi abiria katika vituo vikuu vya mabasi, hali ni tofauti mkoani  Mbeya kwani wamekuwa mkombozi kwa abiria wanaofika kituoni hapo. Hii ni kutokana na mbali ya kupiga debe kwenye mabasi lakini pia wamekuwa msaada katika kuwatafutia wageni wanaofika mkoani hapo  nyumba za kulala wageni. Wakizungumza…

Read More

ATE, TUCTA, VETA Kuimarisha ujuzi Wahitimu wa Mafunzo ya Ufundi

Mtendaji Mkuu wa Chama  cha waajiri Tanzania (ATE) Suzanne Ndomba Doran na Katibu Mkuu wa Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Herny Nkunda wakisaini mikataba na  mikataba waliyosaini kwaajili ya kuimarisha Mafunzo ya Ufundi. Mtendaji Mkuu wa Chama  cha waajiri Tanzania (ATE) Suzanne Ndomba Doran akizungumza wakati wa utiaji wa saini ya kutekeleza makubaliano ya Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Shirikisho la wenye viwanda (CTI), Vyuo vya…

Read More

Matampi amfunika Diarra ‘clean sheet’ Ligi Kuu

MKALI wa kulinda nyavu ‘clean sheet’ katika Ligi Kuu Bara msimu huu ameibuka kuwa kipa Ley Matampi wa Coastal Union baada ya kumaliza akiwa nazo 15 ukiwa ni msimu wake wa kwanza katika mashindano hayo. Matampi aliyempiku Djigui Diarra wa Yanga ambaye huu ni msimu wake wa tatu, tayari ameshinda tuzo hiyo misimu miwili mfululizo akimshusha…

Read More

Biashara hewa ukaa inavyobadili maisha wakazi wa Tanganyika, Waziri Jafo aguswa

Katavi. Wakazi wa Kijiji cha Kapanga katika Wilayani Tanganyika mkoani Katavi, wamesema biashara ya hewa ukaa inayoendelea kutekelezwa kiwilaya, inazidi kuwanufaisha baada ya fedha zake kujenga miradi mbalimbali ya maendeleo Wilaya hiyo ni miongoni mwa zinazonufaika na utunzaji wa mazingira kwa kufanya biashara ya hewa ukaa,  na kwa mwaka  inapata zaidi ya Sh14 bilioni zinazosaidia…

Read More