
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuimarisha ulinzi wa Mkoa
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuimarisha ulinzi wa Mkoa huo ambao ndio kitovu cha utalii hapa nchini huku likibanisha kuwa leo limeendelea na utoaji elimu kwa madereva wanao pokea na kutoa huduma ya usafiri kwa wageni wanafika Mkoani humo kwa ajili kutalii. Akiongea mara baada ya kikao hicho na wadau wa usafirishaji…