
WAZIRI SILAA AZUIA UTAPELI ENEO LA NSSF
*Ni baada ya NSSF kuweka mtego wa kuwakamata matapeli hao *Walitaka ‘kumpiga’ Mama milioni nane, wakaishia mikononi mwa polisi Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Jerry Silaa amempa siku 14 Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Dar es Salaam kuhakikisha amewaondoa watu…