
Saa ya nyota wa Tottenham ya £260K (Yves Bissouma) imeibiwa na wanyang’anyi.
Yves Bissouma aliripotiwa kutekwa nyara nje ya hoteli ya nyota tano huko Cannes wikendi hii, huku majambazi wawili ‘wakimnyunyiza usoni na mabomu ya machozi’ kabla ya kuondoka na ‘saa yake ya pauni 260,000’. Beki huyo wa Tottenham, ambaye alijiunga na klabu hiyo mwaka wa 2022 baada ya kukamilisha uhamisho wa pauni milioni 25 kutoka Brighton,…