
Hatuchezi yachukua sura mpya | Mwanaspoti
MSISITIZO wa Yanga wa kutocheza Dabi ya Kariakoo bado upo palepale. Inaelezwa kuwa Yanga, haitacheza Dabi ya Kariakoo Juni 15 mwaka huu dhidi ya Simba hadi haki yao ipatikane baada ya mechi hiyo kuahirishwa awali Machi 8. Bodi ya Ligi iliahirisha mechi mechi awali muda mfupi baada ya Simba kutishia kuichezea kwa madai ya kuzuiwa…