
Mbeya City yampigia hesabu Maseke
KIPA Wilbol Maseke anayemaliza mkataba wake na KMC, anahusishwa kutakiwa na Mbeya City, ili kuongeza nguvu kwa ajili ya msimu ujao baada ya kupanda daraja, ikimaliza nafasi ya pili katika Ligi ya Championship. Maseke hadi sasa hajaruhusu bao katika mechi tatu na hakuwa na nafasi ya kucheza mara kwa mara, amekiri mkataba wake utaisha mwisho…