
Simba v Singida BS ni mechi ya kisasi, utamu uko hapa
NGOJA TUONE. Baada ya kupoteza mechi mbili dhidi ya Simba katika Ligi Kuu Bara, Singida Black Stars leo ina nafasi ya kulipa kisasi katika pambano la nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), linalopigwa leo jioni kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, uliopo Babati, mkoani Manyara. Hii ni mchi ya kisasi na iliyobeba matumaini ya Singida…