
Makipa wazawa upepo sio mzuri
HIKI kizazi cha sasa cha makipa wazawa kilikuwa na mwanzo mzuri kuanzia kipindi cha miaka ya 2010 ambapo wengi walianza kuibuka wakiwa watoto hasa katika timu za vijana za Tanzania. Kilionekana kina vijana ambao watarithi vyema mikoba ya kaka zao kina Juma Kaseja, Shaaban Kado, Ivo Mapunda, Shaaban Dihile, Mwadini Ally na wengineo ambao umri…