Chadema yabadili gia angani kisa Golugwa kuzuiwa, yamtumia mke wa Lissu

Meatu. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefanikiwa kuwasilisha taarifa ya hali ya kisiasa nchini katika mkutano wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Duniani (IDU) unaofanyika mjini Brussels, Ubelgiji, licha ya Jeshi la Polisi kumkamata na kumzuia Naibu Katibu Mkuu wao, Amani Golugwa kuhudhuria mkutano huo. Akihutubia mkutano wa hadhara mjini Mwanhuzi wilayani Meatu leo…

Read More

Minziro kukwepa mtego wa play-off

KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’ ametoa siku 10 kwa wachezaji kabla ya kurejea kujiandaa dhidi ya JKT Tanzania na KMC akizitaja kama ndizo za kukwepa mtego wa kuangukia kucheza mtoano. Tayari Kagera Sugar na KenGold zilizopo nafasi ya 16 na 15 mtawalia zimeshuka Ligi Kuu na vita iliyobaki ni kucheza mtoano (play…

Read More

Makundi ya kirafiki Simba yako hivi

KILA mtu na mtuwe na katika kundi kubwa la watu lazima kuwepo na vikundi vidogo vidogo ambavyo hata hivyo mara nyingi haviwezi kutenganisha kundi zima. Hivyo ndivyo ilivyo katika kikosi cha Simba ambacho pamoja na uhusiano mzuri uliopo wa kitimu, wapo wachezaji ambao wanaonekana kuwa na urafiki wa kushibana kiasi cha kupelekea mara kwa mara…

Read More

Fabrice Ngoma ndiye gumzo Morocco

KWA huko nyumbani Tanzania, mashabiki wa Simba huwaambii kitu kwa winga, Ellie Mpanzu Kibisawala kutokana na namna alivyoteka hisia zao tangu alipojiunga na timu hiyo katika dirisha dogo la usajili la Januari. Hata hivyo, mambo ni tofauti baada ya timu hiyo kuja Morocco, kwani mashabiki wengi wa soka hapa licha ya kuifahamu Simba, mchezaji anayejulikana…

Read More

Simba yampigia hesabu kipa Berkane

Kocha wa Simba, Fadlu Davids amesema wamejipanga kikamilifu kuikabili RS Berkane katika mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu, kesho Jumamosi. Davids amesema kuwa wameifanyia Berkane tathmini ya kina kama timu na kwa wachezaji wake – mmoja mmoja. Katika tathmini hiyo ya wachezaji mmoja mmoja wa Berkane, Simba imeamua kushughulika…

Read More

Fountain , KenGold ukilenga tu imooo

ACHANA na taarifa za kushuka daraja kwa KenGold na Kagera Sugar kuna timu ambazo Ligi Kuu Bara msimu huu, kila lango lao likilengwa huwa imoo, kwa kuruhusu mabao mengi hadi sasa ligi ikisaliwa na mechi za raundi mbili kufungia msimu mbali na kiporo cha Kariakoo Dabi. Fountain Gate iliyopo nafasi ya 14 ndiyo inayoongoza kwa…

Read More

Uwanja umeshainama kwa Jonathan Sowah

ILE kasi ya kufumania nyavu kwenye Ligi Kuu ya Jonathan Sowah tangu alipojiunga na Singida Black Stars ilikuwa inatisha sana na jamaa ghafla aliteka hisia za wengi ndani ya muda mfupi. Jamaa kaanza kucheza Ligi Kuu mwezi Januari tu mwaka huu baada ya kunaswa katika kipindi cha usajili cha dirisha dogo na akaweka kambani mara…

Read More

Jeuri ya Yanga ipo hapa

KIKOSI cha Yanga kinajiandaa kuondoka jijini Dar es Salaam leo Ijumaa, kwenda Tanga kwa ajili ya mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), ikiendelea kuupigia hesabu ubingwa wa Ligi Kuu ikiwa kileleni mwa msimamo na pointi 73 baada ya mechi 27, lakini ikifichua siri inayoibeba timu hiyo. Yanga inayoshikilia taji la Ligi Kuu…

Read More