
Azizi KI ndani, Nouma nje kikosi cha Burkina Faso
TAARIFA mbaya kwa beki mpya wa Simba, Valentin Nouma ni kwamba kocha Brama Traore, amemtema katika kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso, huku Stephanie Aziz KI wa Yanga akiendelea kupeta. Nouma amekutana na taarifa hiyo ya kushtua ikiwa ni mara ya kwanza tangu atue Simba iliyomsajili dirisha kubwa la usajili lililopita, huku akiwa…