
Baleke, Boka wakoleza moto Yanga
YANGA kesho jioni itakuwa uwanjani kuvaana na Kagera Sugar, huku kocha wa kikosi hicho akichekelea kurejea uwanjani kwa mshambuliaji, Jean Baleke pamoja na beki Chadrack Boka walikosekana katika mechi nne zilizopita zikiwamo mbili za Ngao ya Jamii na za Ligi ya Mabingwa Afrika ikiing’oa Vital’O ya Burundi. Baleke alikosekana katika mechi nne wakati Boka alikosa…