
Siku 40 Yanga, mboga moto, ugali moto!
JAMBO ambalo Yanga inapaswa kujivunia ni kwamba wachezaji wake nane tofauti wamefunga mabao 22 huku moja tu likiwa la kujifunga la timu pinzani, jambo linaloashiria kwamba timu hiyo haina tegemezi katika ufungaji msimu huu. Lakini kinachofanywa na Yanga hapana shaka kinaumiza vichwa vya timu pinzani ndani na nje ya Tanzania katika kuangalia ni kwa namna…