
Djuma Shaban atimkia Ufaransa | Mwanaspoti
BEKI wa zamani wa Yanga, Djuma Shaban anayekipiga Namungo kwa sasa, ametimka nchini kwenda Ufaransa, huku akifunguka kilichofanya aende huko akiwa amepewa muda wa wiki moja kabla ya kurejea kikosini kuungana na wenzake kujiandaa na mechi za Ligi Kuu Bara. Djuma aliyewahi kuitumikia AS Vita ya DR Congo kabla ya kutua Yanga misimu mitatu iliyopita,…