
Yanga vs Azam hapa sasa mtainjoi, kisasi kitalipwa
HII utaipenda na mtasema mlikujaje. Ndivyo unavyoweza kusema wakati fainali ya mechi za Ngao ya Jamii itakapopigwa kesho Jumapili. Ndio, ni bonge la mechi kwa mashabiki wa soka nchini. Achana na Dabi ya Kariakoo iliyopigwa Alhamisi. Achana na matokeo ya ushindi wa bao 1-0 iliyopata Yanga mbele ya Simba. Achana na madudu yaliyofanywa na waamuzi wa…