UBIA WA TWIGA MINERALS NA BARRICK WAZIDI KULETA MANUFAA, YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 53.5 KWA SERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassan akipokea hundi ya gawio kutoka kwa Meneja wa Barrick nchini,Melkiory Ngido (Kulia) Baadhi ya viongozi wa taasisi mbalimbali katika hafla hiyo Viongozi wa taasisi mbalimbali na wageni waalikwa katika hafla hiyo.   Katika kudhihirisha kuwa ubia kati ya kampuni ya Barrick Corporation na Serikali ya Tanzania…

Read More

SACP Mahanga: Ulinzi viwanjani unahitaji ujasili

Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Polisi Jamii Kamisheni ya Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Jonas Mahanga amesema suala la ulinzi na usalama katika viwanja vya michezo linahitaji moyo na ujasiri pamoja na uadilifu ili kuweza kufikia malengo ya kuimarisha sekta za michezo. Ameyasema hayo wakati wa kufunga mafunzo ya siku tatu ya…

Read More

JKT yatangaza nafasi za kujitolea, utaratibu huu hapa

Dodoma. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo ya JKT ya kujitolea kwa mwaka 2024, ambapo usajili utaanza Oktoba Mosi, 2024. Kaimu Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Kanali Juma  Mrai ameyasema hayo leo Jumatano, Septemba 25, 2024  alipokuwa akitangaza  wito wa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa kujitolea mwaka 2024 …

Read More

Aliyempiga risasi Waziri Mkuu Slovakia apandishwa kizimbani

Bratislava. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Slovakia, Matus Sutaj Estok amesema mtuhumiwa aliyekamatwa kwa kumpiga risasi Waziri Mkuu Robert Fico ameshtakiwa kwa jaribio la mauaji. “Polisi wanafanya kazi, mtuhumiwa anashtakiwa kwa jaribio la kuua kwa kukusudia,” Estok amewaambia waandishi wa habari alipozungumzia shambulio lililochochewa kisiasa. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la AFP, Waziri…

Read More

Yanga yashusha beki usiku mnene, Wakongo waleta kauzibe,

SAA chache kabla ya kambi mpya ya Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano kuanza kesho Jumatatu, mabosi wa klabu hiyo wakimpokea beki wa kushoto mpya, Chadrack Boka usiku mnene wa juzi, huku ikikwepa kiunzi kilichowekwa na FC Lupopo aliyokuwa akiichezea msimu uliomalizika hivi karibuni. Beki huyo aliyetua sambamba na meneja wake akiyokea jiji…

Read More

Watuhumiwa wa Ubakaji na ulawiti wafungwa Maisha Jela,280 vifungo mbalimbali

Na. Mwandishi Jeshi la Polisi- Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari, 2025 hadi Februari 2025 lilifanya operesheni dhidi ya uhalifu na wahalifu na kufanikiwa kukamata watuhumiwa  mbalimbali na kuwafikishwa Mahakamani. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamjzi wa Polisi SACP Justine Masejo…

Read More

Matukio ya utekaji, ukatili watoto yamuibua Profesa Chris Maina

Dar es Salaam. Serikali imetakiwa kuweka mikakati itakayosaidia kuwabaini wanaojihusisha na vitendo vya ukatili dhidhi ya watoto ukiwemo utekaji, ili kutokomeza matukio yanayoendelea nchini. Ushauri huo unatolewa katika kipindi ambacho, kumeripotiwa matukio kadhaa ya madai ya kutekwa na kutoweka kwa watoto nchini. Hata hivyo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni alikiri kuwepo kwa matukio…

Read More

NAIBU WAZIRI WA MAJI AAHIDI NEEMA KIBAHA

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge akisalimiana na Naibu Waziri wa Maji Kundo Mathew Ofisini kwake. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Dawasa Mhandisi Mkama Bwire na Meneja wa Ruwasa Mko wa Pwani Beatrice Kasimbazi. Naibu Waziri wa Maji Mhe.Kundo Mathew katikati kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Rashid Mchatta na kulia ni…

Read More