
Kipato kidogo chatajwa kuongeza hatari maambukizi ya VVU kwa Vijana
Hai. Wakati Taifa likiendelea na jitihada za kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU), imeelezwa kuwa, uwezo wa kifedha wa watu wazima unaweza kuwa miongoni mwa sababu zinazowaweka vijana katika mazingira hatarishi ya kuambukizwa. Hayo yamesemwa mwishoni mwa wiki na Makamu wa Rais wa AngloGold Ashanti wa Masuala ya Uendelevu na Mambo ya Ubia…