
BALOZI MATINYI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN
BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, amewasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI Gustaf, katika hafla maalum iliyofanyika tarehe 12 Juni, 2025, katika Kasri la Mfalme wa Sweden, jijini Stockholm. Baada ya mazungumzo mafupi kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufalme wa Uswidi, Mhe. Balozi Matinyi alisindikizwa kwa gwaride rasmi…