
Ulaya yafuatilia duru ya pili ya uchaguzi Ufaransa – DW – 04.07.2024
Ingawa mambo mengi yatategemea duru ya pili ya uchaguzi wa siku ya Jumapili, tayari inaonekana wazi kuwa jukumu la Macron kama kinara wa ushirikiano wa Ulaya utapungua kwa kiasi kikubwa. Matukio mawili yanayoweza kujitokeza; serikali inayoongozwa na Marine Le Pen, kiongozi wa chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha National Rally, RN, au…