
Asasi ya Agenda yabainisha madhara ya kemikali zilizopo kwenye Plastiki
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojiunga katika kupunguza matumizi ya plastiki kama njia mojawapo ya kutunza na kuhifadhi mazingira. Katika kutekeleza suala hilo Juni mosi mwaka 2019 Tanzania ilitangaza marufuku ya kutengeneza, kusambaza, kutumia au kutunza mifuko ya plastiki. Katazo hili lilifuatia tangazo lililotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa…