
Barabara mto wa Mbu-Loliondo kugharimu Sh24 bilioni, mkandarasi aonywa
Arusha. Wakala wa Barabara Mkoa wa Arusha (Tanroads) na kampuni ya ujenzi ya China Wu Yi Co.Ltd wamesaini mkataba wa ujenzi wa barabara kwa awamu ya pili ya kilomita 10 kutoka mji mdogo wa Wasso hadi Loliondo kwa gharama ya Sh24 bilioni. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akizungumza kwenye hafla hiyo leo Jumatatu…