
Shangazi afunguka sababu ya kujiuzulu Simba SC
Mbunge wa Jimbo la Mlalo na mjumbe kamati ya bodi ya wawekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo. Shangazi amesema kuwa ameamuandikia Mohamed Dewji, barua ya kumuomba kujiondoa kwenye bodi ya uwekezaji tangu Juni 2 mwaka huu hii ni kutokana na mwenendo…