Hali ya utulivu yarudi Nairobi baada ya maandamano – DW – 28.06.2024

28.06.202428 Juni 2024 Hali ya utulivu imeanza kurudi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi na maeneo mengine ya nchi hiyo kufuatia maandamano ya jana Alhamisi. https://p.dw.com/p/4hd1X Askari jeshi ambae analinda doria katika viunga vya mji wa Nairobi kufuatia maandamano ya wananchi.Picha: Daniel Irungu/EPA Biashara na maduka yamefunguliwa huku wananchi wakiripotiwa kuendelea na shughuli zao za…

Read More

DKT MWASE – AHIMIZA UPANDAJI WA MITI NA KUISIMAMIA KATIKA UKUAJI WAKE MPAKA IWE MIKUBWA

Mkurugenzi wa wa Shirika la Taifa la Madini Tanzania (STAMICO) Dkt Venance Mwase akipanda miti katika eneo la Amboni Jijini Tanga lililoratibiwa na Wanawake na Samia Mkoa wa Tanga lililokwenda sambamba na kutambulisha Nishati Safi mbadala ya  Rafiki Briquettes.   Mkurugenzi wa wa Shirika la Taifa la Madini Tanzania (STAMICO) Dkt Venance Mwase akipanda miti katika eneo…

Read More

Serikali yamalizia mchakato kuifanya NEMC kuwa mamlaka

Dar es Salaam. Serikali imesema inaendelea na mchakato wa kufanya mabadiliko ya kisheria ili kulibadilisha Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuwa mamlaka kamili itakayokuwa na nguvu zaidi katika kushughulikia changamoto mbalimbali za mazingira nchini Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi, Mei 3, 2025 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa…

Read More

Serikali yatoa muda wa mwisho kusajili vituo vya malezi ya watoto mchana

Shinyanga. Mkoa wa Shinyanga una jumla ya vituo 103 vya kulelea watoto wadogo mchana, ambapo ni vituo 51 pekee ndivyo vilivyosajiliwa rasmi. Hali hiyo imemlazimu Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, David Lyamongi, kuwataka wamiliki wa vituo vilivyosalia kuhakikisha wanasajili vituo vyao haraka iwezekanavyo. Lyamongi amesema kutosajiliwa kwa vituo hivyo kunakiuka sheria na kanuni…

Read More

Kiluvya kutumia maujanja ya Yanga

WAGENI wapya wa Ligi ya Championship msimu huu Kiluvya United ya mkoani Pwani, imetamba kufanya vizuri huku ikiweka wazi imefanya maandalizi ya kutosha kuleta ushindani kwa kutumia mbinu za mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara timu ya Yanga. Katibu mkuu wa timu hiyo, Amri Bashiru alisema, licha ya ugeni wao katika Ligi hiyo ila wapinzani…

Read More

Namna uchumi wa familia usivyofundishwa shuleni

Shule nyingi hazimuandai mwanafunzi katika eneo la elimu kuhusu fedha. Shule chache ambazo hutoa elimu ya fedha hufanya hivyo kwa mtazamo wa jumla. Kuna maarifa muhimu ya uchumi wa familia ambayo mara nyingi hayajumuishwi kwenye mitalaa rasmi. Maarifa haya ni muhimu kwa kila mtu ili kujenga msingi mzuri wa usimamizi wa fedha binafsi na kuhakikisha…

Read More

MAJIMBO KUMI  MKOA WA DODOMA KUSAMBAZIWA UMEME

Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, akiongea na Wanahabari leo tarehe 18 Oktoba, 2024 wakati wa hafla ya kumtambulisha mkandarasi, kampuni ya DERM Group (T) Ltd katika ukumbi wa mikutano wa Mkuu wa mkoa, Jijini Dodoma. ….. 🟢✳️Uwekezaji huo utaigharimu Serikali shilingi bilioni 18 katika kipindi cha miaka miwili 🟢✳️Kaya 4,950 zitanufaika na…

Read More