M/RAIS AKIHANI MSIBA KWA WANAKIJIJI KASUMO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiifariji familia na waombolezaji mbalimbali kufuatia kifo cha Bi. Doleta Minya kilichotokea tarehe 09 Julai 2024. Makamu wa Rais ametoa pole hizo wakati alipoitembelea familia ya marehemu akiwa Kijiji Kasumo Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma tarehe 11 Julai 2024.

Read More

Isanzu, Nathwani, vitani tena Arusha Open

NI vita ya kisasi kati ya Ally Isanzu anayeongoza mbio za ubingwa wa Lina PG Tour na vijana watatu kutoka Arusha; Jay Nathwani, Garv Chadhar na Aliabas Kermali walioichafua rekodi yake ya kutoshindwa katika viwanja vya Arusha Gymkhana. Isanzu anapambana tena na vijana hao katika mashindano ya wazi yajulikanayo kama Arusha Open ambayo yanaanza katika…

Read More

Mgunda mzuka mwingi DR Congo

MSHAMBULIAJI Ismail Mgunda amesema kitendo cha Mashujaa kukubali kumuachia kwenda kutafuta changamoto mpya kinamsaidia kuendelea kumjenga na kukuza kiwango na kipaji chake. Japo Mgunda hakutaja moja kwa moja anakwenda kujiunga na AS Vita ya DR Congo kama ulivyoeleza uongozi wa Mashujaa kupitia Ofisa Habari Hamis Mwalyango kumalizana na klabu hiyo na mchezaji, lakini mshambuliaji huyo…

Read More

Fedha ni nini kwa maendeleo? – Maswala ya ulimwengu

Hizi ni sehemu ya malengo 17 yaliyokubaliwa na karibu kila nchi, inayoitwa Malengo endelevu ya maendeleo (SDGS). Mpango ni kugonga malengo haya ifikapo 2030. Lakini tunaanguka nyuma. Sababu moja kubwa? Hakuna fedha za kutosha za kufanya maendeleo ya kweli. Ndio sababu viongozi wa ulimwengu, wachumi, na watoa maamuzi wengine wanakutana mwishoni mwa mwezi huu huko…

Read More