Dabo asaka dawa ya APR

KAULI ya Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo kuhusu wapinzani wake APR imeonekana kuwa na maswali mengi juu ya kitakachoenda kutokea katika mchezo wa marudiano jijini Kigali nchini Rwanda. Juzi Jumapili Azam iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya APR ya Rwanda katika mchezo wa kwanza hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa…

Read More

Faida za mtoto wa kike kujiunga na skauti

Dar es Salaam. Shule za msingi na sekondari za jijini Dar es Salaam zimejitokeza kuadhimisha Siku ya Skauti wa Kike (Girls Guide) huku msisitizo ukitolewa kwa wazazi kuwahamasisha watoto wao kujiunga na kundi hilo. Yakiwa na lengo la kuwajenga watoto wa kike wenye umri mdogo katika kujitambua, kujiamini, na hata kujenga uzalendo katika nchi yao,…

Read More

Mbinu za kuepuka saratani saba za wanawake, wanaume  

Dar es Salaam. Wizara ya Afya nchini Tanzania imetaja aina saba za saratani zinazowasumbua wanaume na wanawake, huku ikiainisha namna ya kuepuka vihatarishi vya ugonjwa huo. Saratani hizo ni mlango wa kizazi ikiathiri wanawake kwa asilimia 26.4, matiti asilimia 12, tezi dume asilimia tisa, koo asilimia 6.7 na utumbo mpana asilimia sita. Takwimu hizo zimetajwa…

Read More

Tajiri aingilia dili la Mpanzu Simba

RAIS wa Klabu ya AS Vita, Amadou Diaby amekutana na winga wa kikosi hicho, Elie Mpanzu Kibisawala ili kumshawishi aendelee kubaki ndani ya timu hiyo baada ya hivi karibuni kuhusishwa kuhitajika na miamba wa soka nchini, Simba. Winga huyo ni miongoni mwa wachezaji wanaohitajika na Simba katika dirisha hili la usajili ili kuboresha kikosi hicho…

Read More

‘Mtiti’ majimbo ya Dodoma, kwa Kibajaji watatu watajwa

Bajaji waliyosafirishiwa wananchi wa Jimbo la Mtera (Mvumi) miaka 15 iliyopita bado iko barabarani, lakini watu wanne wanatarajia kuipanda. Lengo ni kutaka kushindana nayo katika mbio za kuliwania jimbo hilo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu. Lakini inaelezwa wenye kutegua kitendawili hiki ni wajumbe ambao wamebeba maono yake, licha ya ukweli kuwa safari bado…

Read More

Coastal Union yaanza upyaa Bara

KAIMU Kocha Mkuu wa Coastal Union, Joseph Lazaro, amesema hivi sasa wameanza kuuona mwanzo mpya wa timu yao ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya hapo awali kuwa na matokeo mabaya mfululizo. Coastal Union ambayo tayari imeshuka dimbani mara sita katika Ligi Kuu Bara msimu huu, imefanikiwa kushinda mechi moja, ikipoteza nne na sare moja….

Read More