
Deni la Bilioni 1.52 la Kiwira Lathibitishwa na Serikali – MWANAHARAKATI MZALENDO
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa, amethibitisha kwamba Serikali imelitambua deni la Shilingi Bilioni 1.52 linalotokana na mapunjo ya mafao kwa waliokuwa wafanyakazi wa Mgodi wa Kiwira Coal Mine na madeni ya Wazabuni kabla ya ubinafsishaji wa mgodi huo. Dkt. Kiruswa aliyasema hayo leo Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo…