
Tamasha la utamaduni lilivyobeba umati Ruvuma
Songea. Kama ungepita nje ya Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma, shangwe zinazosikika ungedhani kuna mchezo wa mpira wa miguu unaendelea. Nderemo na vifijo vinavyosikika vinaakisi furaha ya wananchi ndani ya uwanja huo, baada ya burudani mbalimbali za muziki na kitamaduni zinazopamba tamasha la tatu la utamaduni nchini. Isingewezekana kukaa hata sekunde bila kudemka, kwani kila…