
GEAY: Nini Boston Marathon! Ni zamu ya Olimpiki
UMEPITA mwezi mmoja tangu kufanyika kwa mashindano makubwa ya dunia ya mbio za Boston Marathon nchini Marekani, ambapo mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay alikuwa ni miongoni mwa nyota ambao walipewa nafasi kubwa ya kushinda. Hata hivyo, Geay ambaye alifanya vizuri mara mbili katika mbio hizo akimaliza wa nne mwaka 2022 kwa muda wa…