
Ethiopia yahofia ujumbe mpya wa amani wa Somalia – DW – 29.08.2024
Ethiopia imeelezea wasiwasi huo baada ya Misri ambayo kwa muda mrefu imekuwa katika msuguano na nchi hiyo kutuma vifaa vya kijeshi nchini Somalia katika hatua ambayo huenda ikazidisha mvutano kati ya mataifa hayo mawili ya Ethiopia na Misri. Ethiopia yasema haiwezi kukaa kimya amani ya kanda inapoyumbishwa Katika taarifa, wizara ya mambo ya nje ya…