TANZANIA KATIKA MIKAKATI KUKABILI UVUNAJI HARAMU MISITU

  Mhifadhi Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Dkt. Elikana John wakati akiwasilisha mada kwenye mkutano wa pembezoni mwa Mkutano wa 29 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) unaofanyika Baku, Azerbaijan. Sehemu ya washiriki wakifuatilia wasilisho la Mhifadhi Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Dkt….

Read More

Mawakili wamkingia kifua Mwabukusi kuenguliwa urais TLS

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Wakili Boniface Mwabukusi kuibuka na kulaani kuenguliwa kwake kuwania urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), mawakili wenzake kadhaa wameibuka kumtetea wakisema hajatendewa haki huku wakitoa wito arejeshwe miongoni mwa wagombea. Wamesisitiza kuwa ni muhimu mawakili wapenda haki kukilinda chama chao kwa kutokubali kushiriki uchaguzi wa TLS utakaofanyika…

Read More

Maoni ya wadau nyongeza ya mshahara, kodi na elimu zatajwa

Dar es Salaam. Wadau wa sekta mbalimbali wameeleza maoni tofauti kuhusu ongezeko la kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma, lililotangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Ongezeko hili la asilimia 35.1, ambalo litaanza kutumika Julai mwaka huu 2025, linatarajiwa kuleta mabadiliko katika maisha ya watumishi wa umma, huku wengine wakiunga mkono hatua hiyo…

Read More

NYUMA YA PAZIA: Arteta anawamezea mate nyota hawa

LONDON, ENGLAND: Dirisha la usajili limeendelea kunoga Ulaya. Vita ya usajili ni kubwa na kila timu ina rada zake. Arsenal tayari imeshamsajili jumla kipa David Raya baada ya kuidakia kwa mkopo akitokea Brentford. Hata hivyo, kwa sasa Kocha Arteta bado anataka kushusha vyuma vingine ili kuifanya Arsenal kuwa tishio baada ya msimu uliopita kushindwa kubeba…

Read More

Wamehama kambi | Mwanaspoti

WAPO wanaosema ni kabila tu mtu ndio hawezi kuhama, lakini imani ya dini watu wanahama. Wapo wanaohama vyama vya kisiasa na hata kwa ishu ya uraia wapo wanaohama na maisha yakaendelea freshi tu na huko katika ushabiki wa soka mambo nako ni moto, ingawa hutokea kwa nadra sana. Ndio, kutokana na mchezo maarufu wa soka,…

Read More

Washukiwa wa ‘mapinduzi’ Ujerumani wafikishwa mahakamani – DW – 29.04.2024

Wanachama tisa wa kundi hilo linaloongozwa na mfanyabiashara na mwanamfalme, Heinrich XIII Reuss, waliwasili kwenye mahakama ya mji wa kusini magharibi mwa Ujerumani, Stuttgart, wakisindikizwa na maafisa wa usalama siku ya Jumatatu (Aprili 29). Miongoni mwa washitakiwa hao alikuwamo mwanajeshi mmoja wa kikosi maalum, mbunge mmoja wa zamani wa chama cha siasa kali za mrengo wa…

Read More