Msisitizo watolewa mashuleni kwa wanafunzi na wazazi

Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wamesisitizwa kuwa na nidhamu shuleni, kuzingatia masomo ili waweze kufanya vizuri kitaluma,kufaulu na kutimiza ndoto zao. Msisitizo huo umetolewa na Katibu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Mungu Tanzania REV-Dismus Mofulu alipokuwa akizungumza katika Maafali Ya Kidato Cha Sita Katika Shule ya Sekondari ALDERZGETI iliyopo Babati Mkoani Manyara Amesema…

Read More

JWTZ WAPEWA MBINU NA MAKOCHA KUTOKA UHOLANZI

Na Khadija Kalili Michuzi Tv  MKUU  wa Majeshi nchini Jenerali Jacob Mkunda (CDF) kupitia uratibu wa Baraza la Michezo la Majeshi ya Ulinzi Dunia Conseil International du Sports Military imewaleta  wakufunzi na wataalamu kutoa mafunzo kwa  makocha nchini  ikiwa na  lengo la kuwaaendeleza Maafisa  wa Jeshi   na Askari wenye taaluma ya michezo.  “Mafunzo haya yataimarisha…

Read More

Prof. Kitila: Lissu ameudanganya Umma, hatukupanga mapinduzi

  PROFESA Kitila Mkumbo aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baadaye ACT Wazalendo na sasa ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema kuwa Tundu Lissu ameudanganya umma kuwa yeye na Zitto Kabwe Kiongozi Mstaafu wa ACT walikuwa wanapanga mipango ya kumpindua Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chadema. Anaripoti Mwandishi Wetu,…

Read More

Mbunge akataa kura za kuongezewa kwenye sanduku

Dodoma. Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi mkuu kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza. Maganga amesema mgombea akipewa kura sahihi kwenye uchaguzi itasaidia Taifa kuwa na viongozi sahihi wenye hofu ya Mungu kuliko kama watapatikana viongozi watakaopita kwa nguvu ya wasimamizi. Ametoa kauli hiyo leo Jumanne…

Read More

Walilia uraia pacha, kisa kudhulumiwa na ndugu zao

Dar es Salaam. Watanzania wanaoishi nje ya nchi (diaspora) wamesisitiza haja ya kuwa na uraia pacha ili kuepuka usumbufu, ikiwa ni pamoja na uhalifu wanaofanyiwa na ndugu na jamaa zao wanapowatumia fedha kwa ajili ya kuwekeza kwenye vitega uchumi. Mara kadhaa Serikali imetoa msimamo suala la uraia pacha, ikisema linasimamiwa na Sheria ya Uraia ya…

Read More

Chinampas wa Meksiko wako hai wakiwa wamezingirwa na vitisho – Masuala ya Ulimwenguni

Mkulima Crescencio Hernández akiangalia miche katika chinampa yake katika ardhi ya pamoja ya San Gregorio Atlapulco, katika manispaa ya Xochimilco, kusini mwa eneo kubwa la jiji la Mexico City. Credit: Emilio Godoy / IPS na Emilio Godoy (san gregorio atlapulco, mexico) Jumatano, Septemba 18, 2024 Inter Press Service SAN GREGORIO ATLAPULCO, Meksiko, Sep 18 (IPS)…

Read More

Alichokisema Jaji Warioba miaka 61 ya Muungano

Aprili 26, kila mwaka Watanzania husherehekea Sikukuu ya Muungano, mwaka huu ukifikisha miaka 61. Muungano huo wa Tanganyika na Zanzibar ndio ulizaa nchi ya Tanzania, Aprili 26, 1964. Wakati Watanzania wakiadhimisha miaka 61, Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameielezea miaka 61 ya Muungano huo, ulipotoka na ulipo hivi sasa. Anasema katika miaka 61, Muungano…

Read More