
Magari yakwama, madereva walala njiani Kilolo
Iringa. Wakati madereva wakilia kulala njiani baada ya magari yao kukwama, Mbunge wa Kilolo, Justine Nyamoga ameiomba Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (Tarura) kutengeneza maeneno korofi kwa kutumia zege ili barabara ziweze kupitike. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha, hali ya barabara imezidi kuwa mbaya katika baadhi ya maeneo, jambo linalosababisha magari kukwama na wananchi…