Stand Utd yabadili gia, nyota 10 wakimbia njaa

SUALA la ukata limeendelea kuitesa Stand United ya Shinyanga na dirisha dogo zaidi ya wachezaji 10 wameondoka na wengine kugoma. Hali hiyo imelilazimisha benchi la ufundi na uongozi wa klabu hiyo kuja na mbinu mbadala za kupata wachezaji watakaokubali kucheza kwenye mazingira magumu yasiyo na uhakika wa kupata stahiki mwisho wa mwezi. Timu hiyo iko…

Read More

Bima ya Afya kwa Wote kuanza rasmi Jumatatu

Dodoma. Serikali imetangaza kuanza utekelezaji wa awamu ya kwanza ya Bima ya Afya kwa Wote (BAW), hatua inayolenga kuwaondolea mzigo wa gharama za matibabu wananchi wasio na uwezo wakiwemo wazee, watoto, wajawazito na watu wenye ulemavu, ambao gharama zao zitabebwa na Serikali. Waziri amesema Kitita cha Huduma Muhimu kwa awamu ya kwanza kitaanza kutumika Januari…

Read More

Walinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa na Wafanyikazi Wanaoshirikiana Waliuawa katika Mashambulio Hasi mnamo 2025 – Masuala ya Ulimwenguni

Makao makuu ya UNRWA huko Jerusalem Mashariki yalibomolewa na mashine nzito. Takriban Wafanyakazi 119 wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina waliuawa mwaka wa 2025. Credit: UNRWA Maoni na Kamati ya Kudumu ya Umoja wa Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa kuhusu Usalama na Uhuru wa Utumishi wa Kimataifa wa Kiraia (umoja…

Read More