FUKUO LA KUFUKUA MAAJABU YA NGORONGORO LAFUKULIWA

Waswahili husema “Dunia ni jumba la maajabu  ” Ngorongoro haiishiwi maajabu , Ni kama vile lile fukuo la kufukulia maajabu ndani ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro limefukuliwa, hii inatokana na enzi mpya za msimu kwa waongoza utalii (Tour Guide) nane kushiriki kwenye fainali za Safari Field Challenge kwa mwaka 2026 zitakazofanyika Ngorongoro  Mamlaka ya…

Read More

Wanawake wabeba mzigo wa mabadiliko ya tabianchi kimyakimya

Dar es Salaam. Wakati athari za mabadiliko ya tabianchi zikiendelea kuathiri maisha ya wananchi watu kwa namna mbalimbali, imeelezwa kuwa wanawake wameendelea kubeba mzigo mkubwa wa kukabiliana na hali hiyo huku mchango wao ukiwa hauonekani vya kutosha katika mijadala ya sera na maamuzi ya maendeleo. Katika jamii nyingi nchini, wanawake ndio wanaohusika zaidi na shughuli…

Read More

Tope soko la Mabibo kero sugu, bila mabuti hutoboi

Dar es Salaam. Ikiwa imepita miaka mitatu tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kuchukua soko la Mabibo kutoka kwa wafanyabiashara, bado kero ya uwepo wa matope inaendelea sokoni hapo na watu kulazimika kukodi mabuti ili kuweza kuingia. Soko hilo lilichukuliwa kutoka kwa wafanyabiashara ambao walikabidhiwa kwa tamko la Rais wa awamu ya tano, hayati John…

Read More

WIZI WA MTOTO WAMPONZA, AFUNGWA MWAKA MMOJA

** Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Novina Yoel Kuboja (23), ambaye ni mkulima na mkazi wa Buchosa wilayani humo, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuiba mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi mitatu (jina limehifadhiwa kwa sababu za kisheria). Hukumu hiyo imesomwa leo Machi…

Read More

Mvua ilivyogeuka tishio ikiua 38 kwa siku 90

Dar es Salaam. Wakati mwaka jana mvua zilionekana kusababisha zaidi uharibifu wa miundombinu, mwaka huu zimegeuka tishio kwa maisha ya watu, zikisababisha vifo vya zaidi ya watu 38 nchini hadi sasa. Mbali na idadi hiyo ya watu kupoteza maisha kuanzia Januari hadi Machi mwaka huu (sawa na siku 90), mvua hizo zimekuwa chanzo cha kukosekana…

Read More

PPRA yabaini ‘madudu’ kwenye manunuzi ya umma

Dar es Salaam. Mamlaka Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imeibua kasoro mbalimbali za manunuzi ikiwemo asilimia 30 ya taasisi hazikutenga fedha kwa ajili ya makundi maalumu huku miradi 65 ya manunuzi ikibainika kutelekezwa katika taasisi 33 za umma. Pia, taasisi 10 za ununuzi hazikufanyia kazi ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) katika mikataba…

Read More

Wabunge kuanza kibarua cha bajeti kesho

Dodoma/Dar. Bunge kesho Jumanne, Machi 31, 2026 linaanza safari ya siku 87 za kujadili na hatimaye kupitisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27 huku umma wa Watanzania ukitarajia mambo kadhaa kwa mustakabali wa Taifa. Mambo hayo yameelezwa na makundi mbalimbali ya wananchi, kutokana na uhalisia wa hali ilivyo sasa nchini na duniani, yakiwataka…

Read More