Mkuu wa UNRWA atoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mashambulizi dhidi ya wahudumu wa kibinadamu huko Gaza – Masuala ya Ulimwenguni

Kamishna Jenerali Philippe Lazzarini alikata rufaa hiyo taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa X, zamani Twitter. Alibainisha kuwa miezi 15 baada ya vita kuanza huko Gaza, “matishio yanaendelea chini ya uangalizi wa ulimwengu”. Wafanyakazi 258 wa UNRWA waliuawa Akitoa taarifa za hivi punde kutoka kwa timu zake, Bw. Lazzarini alisema kuwa 258 UNRWA wafanyakazi…

Read More

Kwanza rafiki, na sasa adui – DW – 31.12.2024

Mnamo Agosti 1999, Vladimir Putin aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Shirikisho la Urusi, na mwishoni mwa mwaka huo, alichukua nafasi ya Rais Boris Yelzin aliyekuwa mgonjwa. Katika hotuba yake ya mwanzo, Putin alisisitiza kuwa Urusi ilikuwa na itaendelea kuwa taifa lenye nguvu kubwa. Barani Ulaya, alionekana kama mrekebishaji aliyekuja kuirekebisha Urusi iliyokuwa imevurugika katika miaka…

Read More

Serikali itaendelea kuunga mkono matamasha :Rais Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amesema Serikali itaendelea kuunga Mkono Matamasha yenye Manufaa na tija kwa Ukuaji wa Uchumi wa nchi. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipojumuika na Mamia ya Wananchi kwenye Tamasha la Kwanza la Vumba lililofanyika Viwanja vya Kizingo Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi. Aidha Rais Dk.Mwinyi ameeleza…

Read More

Bittech na KMC FC yawafikia watoto yatima

Kampuni ya Bittech ikishirikiana na KMC FC kugawa vifaa vya shule kwa watoto yatima wa Umra Kampuni ya Bittech kwa kushirikiana na KMC FC imefanya zoezi la kugawa vifaa vya shule kwa watoto yatima wa Umra. Zoezi hilo la utoaji ilifanyika katika kituo cha watoto yatima cha Umra kilichopo Magomeni Mikumi, ambapo watoto wengi walifaidika…

Read More

JKCI imefungua tawi jipya katika jengo la Oyster Plaza

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imefungua tawi jipya kuwapa wananchi nafasi kuwa karibu na huduma ili pale wanapopata changamoto za kiafya wasichukue muda mrefu kufuata huduma zilipo. Tawi hilo lililopo katika jengo la Oyster Plaza Haile Salassie barabara ya Ali Bin Said limeanza kutoa huduma bobezi za moyo leo lengo likiwa kuwapa fursa wananchi…

Read More

MHANDISI JUMBE AWAFARIJI WATOTO, WAZEE NA MABINTI KWA ZAWADI ZA SIKUKUU YA MWAKA MPYA 2025

Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe (kulia) akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa Wazee na Wasiojiweza Kolandoto.Mhandisi James Jumbe (katikati) akizungumza wakati akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Shinyanga Society Orphanage Centre. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Katika…

Read More