ORYX GAS YAKABIDHI MITUNGI YA GESI YA KUPIKIA 100 KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI DAR
WAHARIRI na Waandishi wa vyombo vya habari mbalimbali nchini wamepatiwa mitungi 100 ya Kilo 15 yakiwa na majiko yake yenye sahani mbili ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Akizungumza leo Aprili 30,2024 wakati wa hafla fupi ya ugawaji wa mitungi hiyo iliyofanyika Kigamboni Dar es salaam Mkurugenzi…