
CDF wa Kenya apata ajali ya helkopta, Ruto aitisha kikao cha dharura
Kenya. Hofu imetanda nchini Kenya baada ya helkopta ya jeshi iliyokuwa imembeba Mkuu wa Majeshi ya nchi hiyo (CDF), Jenerali Francis Ogolla kupata ajali leo Aprili 18, 2024. Kufuatia ajali hiyo, Rais wa Kenya, William Ruto ameitisha kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Kitaifa (NSC) katika Ikulu ya Nairobi. Taarifa iliyochapishwa katika Tovuti…