Yanga yaitawala Simba nje ndani

Ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu unazidi kuikaribia Yanga na sasa inahitajika kupata ushindi katika mechi tano na sare moja kati ya mechi nane ilizobakiza ili ijihakikishie ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo pasipo kutegemea matokeo ya timu nyingine, lakini jingine kubwa ni matokeo ya jumla ya mabao 7-2 na pointi sita ambavyo Wananchi…

Read More

Aziz Ki: Nimeahidi, nimetimiza | Mwanaspoti

Kiungo wa Yanga SC, Stephanie Aziz Ki, amesema ana furahi kuona ile ahadi yake ya kufunga bao katika Kariakoo Dabi, ameitimiza. Aziz Ki alimuahidi Mjumbe wa Baraza la Wadhamini la Yanga, Antony Mavunde ambaye pia ni Waziri wa Madini na Mbunge wa Dodoma Mjini, kwamba atafunga bao kwa ajili yake na kweli amefanya hivyo baada…

Read More

Gamondi, Benchikha wakutana na sapraizi Kwa Mkapa

Unaweza kusema ni kama makocha wa timu zote mbili, Miguel Gamondi wa Yanga na Abdelhak Benchikha wa Simba wamekutana na sapraizi, baada ya kulazimika kufanya mabadiliko ya mapema zaidi. Kwa kawaida, mabadiliko ya wachezaji kwenye mechi hufanyika kiufundi, lakini jana makocha hao walilazimika kuyafanya mapema bila ya kutarajiwa. Alianza Gamondi kufanya mabadiliko ya kumtoa Joyce…

Read More

DORIS MOLLEL, ORYX GAS KUTOA NISHATI SAFI KWA WAUGUZI 1000 – MWANAHARAKATI MZALENDO

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KAMPUNI ya Oryx Gas na Taasisi ya Doris Mollel Foundation wamekabidhi mitungiya gesi ya kupikia ya Oryx 50 kwa wauguzi katika Hospitali ya Rufaa yaMwananyamala jijini Dar es Salaam kati ya mitungi  1000  inayotarajiwakukabidhiwa kwa wauguzi na madaktari katika mikoa 10 nchini . Akizungumzawakati wakisaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofanyika katikahospitali…

Read More

Profesa Janabi aonya kuhusu sukari, akikabidhi msaada waathirika wa mafuriko Rufiji

Kibaha. Miaka 300 iliyopita duniani hakukuwa na sukari, hali inayoelezwa iliwaepusha binadamu kupata magonjwa yanayotokana na matumizi ya bidhaa hiyo.  Kutokana na hilo, imeelezwa wakati umefika sasa wa kuitumia sukari kwa makini kulinda afya. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya THPS (Tanzania Health Promotion Support), Profesa Mohamed Janabi amesema hayo…

Read More

Al Ahly yatanguliza mguu fainali ya CAFCL

Sare isiyo ya mabao iliyopata watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri ikiwa ugenini dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo, imeiweka pazuri timu hiyo ya Misri katika na nafsi ya kutinga fainali ya 17 tangu mwaka 1987. Katika mechi ya mkondo wa kwanza ya nusu fainali iliyopigwa jioni ya leo Jumamosi…

Read More

Madiwani Ileje wamtaka DED ajitathimini usimamizi wa miradi

Ileje. Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya Ileje mkoani Songwe limemtaka Mkurugezi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Nuru Kindamba ajitathimini katika usimamizi wa fedha za miradi zinazotolewa na Serikali Kuu. Hayo yamejiri leo Jumamosi Aprili 20, 2024 katika kikao cha Baraza la Madiwani baada ya madiwani hao kubaini miradi mingi ya maendeleo haijakamilika huku fedha…

Read More