
Agizo la Rais Samia latekelezwa, treni mwendokasi yaanza majaribio Dar – Dodoma
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Katika kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya treni ya mwendokasi inayotumia umeme kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuelekea hatua ya kuanza rasmi ifikapo mwishoni mwa Julai. Wakati akihutubia Taifa Desemba 31,2023 Rais Samia aliliekeleza TRC kuhakikisha linaanza rasmi safari za…