
DOZI MOJA YA CHANJO YA HPV INATOSHA KUMKINGA MSICHANA KUPATA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI
Na WAF – Mwanza Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo hiyo. Waziri Ummy amesema hayo leo Aprili 22, 2024 kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Dozi moja ya chanjo ya HPV…